Upload video, pata link ya kipekee, mtazamaji analipa kwanza kabla ya kutazama — na wewe unaona takwimu zote za wageni kwa wakati halisi.
500+
Websites
10K+
Video zilizopo
1M+
Video views
500+
Websites
10K+
Video zilizopo
1M+
Video views
24/7
Support
Mfumo mmoja wa upload, malipo, na takwimu — bila usanidi mgumu.
Kila upload inapata slug ya kipekee tayari kwa kushare WhatsApp au Instagram.
Mtazamaji anaona preview fupi, akilipa link inafunguka kwa muda mfupi tu.
Views, muda wa kutazama, na mapato kwa siku 30 — kwenye dashibodi moja.
Tengeneza website inayojitegemea na video zake, rangi na mpangilio wako.
Fuatilia kila malipo yaliyothibitishwa na salio lako kwa uwazi.
Grid, List, Netflix au YouTube — chagua unaopenda kwa sekunde.
Chagua faili, weka bei na thumbnail.
Tuma link ya video au ya website nzima.
Mtazamaji analipa, wewe unaona takwimu.
Anza kwa kuunda akaunti yako: upload video, pata link, pokea malipo na fuatilia takwimu za wageni kwa wakati.